Wafilipi 3:12
Si kwamba nimekwisha kufikia, au kwamba nimekwisha kuwa mkamilifu, la hasha! Bali nakaza mwendo ili nipate kile ambacho kwa ajili yake, nimeshikwa na Kristo Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11ili kwa njia yoyote niweze kufikia ufufuo wa wafu. 1 Kukaza Mwendo Ili Kufikia Lengo
Cross References
Psalms 42:1Kama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji, 2 ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu. 1
Psalms 63:8Nafsi yangu inaambatana nawe, 2 mkono wako wa kuume hunishika. 1
Psalms 94:15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, 2 wote walio na mioyo minyofu wataifuata. 1
Psalms 119:5Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara 2 katika kuyatii maagizo yako! 1
Psalms 138:8Bwana atatimiza kusudi lake kwangu, 2 Ee Bwana, upendo wako wadumu milele: 2 usiziache kazi za mikono yako.
Isaiah 51:1“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki 2 na mnaomtafuta Bwana: 1 Tazameni mwamba ambako mlichongwa, 2 na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa; 1