Wafilipi 4:10
Nina furaha kubwa katika Bwana kwamba hatimaye mmeanza upya kushughulika tena na maisha yangu. Kweli mmekuwa mkinifikiria lakini mlikuwa hamjapata nafasi ya kufanya hivyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Sisemi hivyo kwa vile nina mahitaji, la! Kwa maana nimejifunza kuridhika katika hali yoyote.
Cross References
Psalms 85:6Je, hutatuhuisha tena, 2 ili watu wako wakufurahie? 1
2 Corinthians 6:7katika maneno ya kweli na katika nguvu za Mungu, kwa silaha za haki za mkono wa kuume na za mkono wa kushoto;
2 Corinthians 11:9Nami nilipokuwa pamoja nanyi, nikipungukiwa na chochote, sikuwa mzigo kwa mtu yeyote, kwa maana ndugu waliotoka Makedonia walinipatia mahitaji yangu. Kwa hiyo nilijizuia kuwa mzigo kwenu kwa njia yoyote, nami nitaendelea kujizuia.
Galatians 6:10Kwa hiyo, kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema, hasa wale wa jamaa ya waaminio. 1 Si Kutahiriwa Bali Kuwa Kiumbe Kipya
Philippians 1:3Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi.