The Bible Software
bible.softwareWafilipiWafilipi 4 › Wafilipi 4:9

Wafilipi 4:9

Mambo yote mliyojifunza au kuyapokea au kuyasikia kutoka kwangu, au kuyaona kwangu, yatendeni hayo. Naye Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi. 1 Shukrani Kwa Matoleo Yenu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Those things, which ye have both learned, and received, and heard, and seen in me, do: and the God of peace shall be with you.

In Context

8Hatimaye, ndugu zangu, mambo yote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo na sifa njema, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote ya kupendeza, yoyote yenye staha, ukiwepo uzuri wowote, pakiwepo chochote kinachostahili kusifiwa, tafakarini mambo hayo.

10Nina furaha kubwa katika Bwana kwamba hatimaye mmeanza upya kushughulika tena na maisha yangu. Kweli mmekuwa mkinifikiria lakini mlikuwa hamjapata nafasi ya kufanya hivyo.

Read all of Wafilipi 4

Cross References

Isaiah 8:10Wekeni mikakati yenu, lakini itashindwa; 2 fanyeni mipango yenu, lakini haitafanikiwa, 1 kwa maana Mungu yu pamoja nasi. + 8:10 Kiebrania ni Imanueli. 1 Mwogope Mungu

Matthew 1:23“Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.”

Matthew 7:21“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

Matthew 28:20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”

Luke 8:21Yesu akamjibu, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wote wanaolisikia neno la Mungu na kulifanya.” 1 Yesu Atuliza Dhoruba (Mathayo 8:23-27; Marko 4:35-41)

John 13:17Sasa kwa kuwa mmejua mambo haya, heri yenu ninyi kama mkiyatenda.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Wafilipi 4:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Wafilipi 4:8Wafilipi 4Wafilipi 4:10 →