Philippians 4:6
Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
7Nayo amani ya Mungu, inayopita fahamu zote, itailinda mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
Cross References
Genesis 32:7Kwa hofu kuu na huzuni, Yakobo akagawanya watu aliokuwa nao katika makundi mawili, pia akagawanya makundi ya kondoo na mbuzi, na vilevile ngʼombe na ngamia.
1 Samuel 7:12Ndipo Samweli akachukua jiwe na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni. Akaliita Ebenezeri, + 7:12 Ebenezeri maana yake jiwe la usaidizi. akisema, “Hata sasa Bwana ametusaidia.”
2 Chronicles 32:20Mfalme Hezekia na nabii Isaya mwana wa Amozi wakalilia mbingu katika maombi kuhusu jambo hili.
Psalms 34:5Wale wamtazamao hutiwa nuru, 2 nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe. 1
Psalms 55:17Jioni, asubuhi na adhuhuri 2 ninalia kwa huzuni, 2 naye husikia sauti yangu. 1
Psalms 62:8Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote, 2 miminieni mioyo yenu kwake, 2 kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu. 1