The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 32 › Genesis 32:7

Genesis 32:7

Kwa hofu kuu na huzuni, Yakobo akagawanya watu aliokuwa nao katika makundi mawili, pia akagawanya makundi ya kondoo na mbuzi, na vilevile ngʼombe na ngamia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then Jacob was greatly afraid and distressed: and he divided the people that was with him, and the flocks, and herds, and the camels, into two bands;

In Context

6Wajumbe waliporudi kwa Yakobo, wakamwambia, “Tulikwenda kuonana na ndugu yako Esau, naye sasa anakuja kukulaki akifuatana na wanaume 400.”

8Yakobo alifikiri, “Kama Esau akija na kushambulia kundi moja, kundi lililobaki litaweza likanusurika.”

Read all of Genesis 32

Cross References

Genesis 33:1Yakobo akainua macho akamwona Esau akija na watu wake 400, kwa hiyo akawagawanya watoto kati ya Lea, Raheli na wale watumishi wake wawili wa kike.

Exodus 14:10Farao alipokaribia, Waisraeli wakainua macho yao, wakawaona Wamisri wakija nyuma yao. Wakashikwa na hofu, wakamlilia Bwana.

Psalms 31:13Kwa maana nimesikia maneno niliyosingiziwa na wengi; 2 vitisho viko pande zote; 1 kwa kuwa wamefanya mashauri dhidi yangu, 2 na kula njama kuniua. 1

Psalms 61:2Kutoka miisho ya dunia ninakuita, 2 ninaita huku moyo wangu unadhoofika; 1 uniongoze kwenye mwamba 2 ule ulio juu kuliko mimi. 1

Psalms 112:5Mema yatamjia mtu yule aliye mkarimu na mwenye kukopesha bila riba, 2 anayefanya mambo yake kwa haki. 1

Proverbs 2:11Busara itakuhifadhi 2 na ufahamu utakulinda. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 32:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 32:6Genesis 32Genesis 32:8 →