Proverbs 10:17
Anayekubali kuadibishwa yuko katika njia ya uzima, 2 lakini yeyote anayepuuza maonyo hupotosha wengine. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is in the way of life that keepeth instruction: but he that refuseth reproof erreth.
In Context
16Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, 2 lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu. 1
18Yeye afichaye chuki yake ana midomo ya uongo, 2 na yeyote anayeeneza uchonganishi ni mpumbavu. 1
Cross References
Proverbs 1:25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote 2 na hamkukubali karipio langu, 1
Proverbs 3:1Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, 2 bali zitunze amri zangu moyoni mwako, 1
Proverbs 4:4baba alinifundisha akisema, 2 “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; 2 yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 1
Proverbs 5:12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! 2 Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 1
Proverbs 6:23Kwa maana amri hizi ni taa, 2 mafundisho haya ni mwanga 2 na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 1
Proverbs 15:10Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; 2 yeye achukiaye maonyo atakufa. 1