Proverbs 6:23
Kwa maana amri hizi ni taa, 2 mafundisho haya ni mwanga 2 na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, 2 kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 1
Cross References
Leviticus 19:17“ ‘Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Karipia jirani yako kwa uwazi ili usishiriki hatia yake.
Psalms 119:98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, 2 kwa kuwa nimezishika daima. 1
Psalms 141:5Mtu mwenye haki na anipige: ni jambo la huruma; 2 na anikemee: ni mafuta kichwani mwangu. 2 Kichwa changu hakitalikataa. 1 Hata hivyo, maombi yangu daima 2 ni kinyume cha watenda mabaya, 1
Proverbs 4:4baba alinifundisha akisema, 2 “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; 2 yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 1
Proverbs 5:12Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! 2 Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo! 1
Proverbs 15:31Yeye asikilizaye maonyo yatoayo uzima 2 atakuwa miongoni mwa wenye hekima. 1