Proverbs 12:20
Upo udanganyifu katika mioyo 2 ya wale ambao hupanga mabaya, 2 bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Deceit is in the heart of them that imagine evil: but to the counsellors of peace is joy.
In Context
19Midomo isemayo kweli hudumu milele, 2 bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 1
21Hakuna dhara linalompata mwenye haki, 2 bali waovu wana taabu nyingi. 1
Cross References
Psalms 119:118Unawakataa wote wanaoyaasi maagizo yako, 2 kwa maana udanganyifu wao ni bure. 1
Proverbs 26:24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, 2 lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 1
Jeremiah 17:16Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; 2 unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. 1 Kile kipitacho midomoni mwangu 2 ki wazi mbele yako. 1
Zechariah 6:13Ni yeye atakayejenga Hekalu la Bwana, naye atavikwa utukufu na ataketi kumiliki katika kiti cha enzi naye atakuwa kuhani katika kiti chake cha enzi. Hapo patakuwa amani kati ya hao wawili.’
Mark 7:21Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi,
Romans 1:29Wakiwa wamejawa na udhalimu wa kila namna, uasherati, uovu, tamaa mbaya na hila. Wamejawa na husuda, uuaji, ugomvi, udanganyifu, hadaa na nia mbaya. Wao pia ni wasengenyaji,