Proverbs 12:21
Hakuna dhara linalompata mwenye haki, 2 bali waovu wana taabu nyingi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There shall no evil happen to the just: but the wicked shall be filled with mischief.
In Context
22Bwana anachukia sana midomo idanganyayo, 2 bali hufurahia watu ambao ni wa kweli. 1
Cross References
Psalms 121:7Bwana atakukinga na madhara yote, 2 atayalinda maisha yako, 1
Proverbs 11:21Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, 2 bali wenye haki watakuwa huru. 1
Ecclesiastes 7:18Ni vyema kushika hilo moja 2 na wala usiache hilo jingine likupite. 2 Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi. + 7:18 Au: atafuata hayo yote mawili. 1
Habakkuk 2:16Utajazwa na aibu badala ya utukufu. 2 Sasa ni zamu yako! Kunywa na ujifunue! 1 Kikombe kutoka kwenye mkono wa kuume wa Bwana kinakujia, 2 na aibu itafunika utukufu wako. 1
1 Corinthians 3:22ikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa + 3:22 Yaani Petro. au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu
1 Peter 3:13Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?