Proverbs 14:23
Kazi zote zinazofanywa kwa bidii huleta faida, 2 bali mazungumzo matupu huelekea umaskini tu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In all labour there is profit: but the talk of the lips tendeth only to penury.
In Context
24Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, 2 bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. 1
Cross References
Job 28:10Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; 2 macho yake huona hazina zake zote. 1
Proverbs 12:24Mikono yenye bidii itatawala, 2 bali uvivu huishia katika kazi za utumwa. 1
Ecclesiastes 3:9Mfanyakazi anapata faida gani kutokana na taabu yake?
John 6:27Msishughulikie chakula kiharibikacho, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele, ambacho Mwana wa Adamu atawapa. Yeye ndiye ambaye Mungu Baba amemtia muhuri.”
1 Timothy 5:13Zaidi ya hayo, wajane kama hao huwa na tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba, wala hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo yasiyowapasa kusema.