Proverbs 14:24
Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, 2 bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The crown of the wise is their riches: but the foolishness of fools is folly.
In Context
23Kazi zote zinazofanywa kwa bidii huleta faida, 2 bali mazungumzo matupu huelekea umaskini tu. 1
25Shahidi wa kweli huokoa maisha, 2 bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. 1
Cross References
Psalms 49:10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; 2 wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia 2 na kuwaachia wengine mali zao. 1
Proverbs 27:22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu, 2 ukimtwanga kama nafaka kwa mchi, 2 hutauondoa upumbavu wake. 1
Isaiah 33:6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu, 2 ghala za wokovu tele, hekima na maarifa; 2 kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 1
Luke 16:9Nawaambia, tumieni mali ya kidunia kujipatia marafiki, ili itakapokwisha, mkaribishwe katika makao ya milele.