Proverbs 16:2
Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, 2 bali makusudi hupimwa na Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the ways of a man are clean in his own eyes; but the LORD weigheth the spirits.
In Context
1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, 2 bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 1
3Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo, 2 nayo mipango yako itafanikiwa. 1
Cross References
Judges 7:6Idadi ya wale waliokunywa kwa kuramba ramba walikuwa 300, lakini wengine wote katika jeshi walipiga magoti ili kunywa.
1 Samuel 15:13Samweli alipomfikia, Sauli akamwambia, “ Bwana akubariki! Nimetimiza yale Bwana aliniagiza.”
Psalms 36:2Kwa kuwa machoni pake mwenyewe hujisifu mno 2 hata hawezi kugundua au kuichukia dhambi yake. 1
Proverbs 16:25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, 2 bali mwisho wake huelekeza mautini. 1
Proverbs 21:2Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, 2 bali Bwana huupima moyo. 1
Proverbs 30:12wale ambao ni safi machoni pao wenyewe 2 kumbe hawakuoshwa uchafu wao; 1