Proverbs 17:12
Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, 2 kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let a bear robbed of her whelps meet a man, rather than a fool in his folly.
In Context
11Mtu mbaya hupenda kuasi tu; 2 mjumbe asiye na huruma atatumwa dhidi yake. 1
13Ikiwa mtu atalipa baya kwa jema, 2 kamwe ubaya hautaondoka katika nyumba yake. 1
Cross References
2 Kings 2:24Akageuka, akawatazama na kuwalaani kwa Jina la Bwana. Kisha dubu wawili wa kike wakatokea mwituni na kuwararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.
Proverbs 28:15Kama simba angurumaye au dubu ashambuliaye, 2 ndivyo alivyo mtu mwovu atawalaye wanyonge. 1
Matthew 2:16Herode alipongʼamua kwamba wale wataalamu wa nyota wamemshinda kwa akili, alikasirika sana, naye akatoa amri ya kuwaua watoto wote wa kiume wenye umri wa miaka miwili kurudi chini katika mji wa Bethlehemu na sehemu zote za jirani, kufuatana na ule muda alioambiwa na wale wataalamu wa nyota.