Proverbs 17:9
Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo, 2 bali yeyote arudiaye jambo hutenganisha marafiki wa karibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; 2 kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 1
10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua 2 kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. 1
Cross References
Psalms 32:1Heri mtu yule ambaye amesamehewa makosa yake, 2 ambaye dhambi zake zimefunikwa. 1
Proverbs 16:28Mtu mpotovu huchochea ugomvi, 2 nayo maongezi ya upuzi hutenganisha marafiki wa karibu. 1