Proverbs 16:28
Mtu mpotovu huchochea ugomvi, 2 nayo maongezi ya upuzi hutenganisha marafiki wa karibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A froward man soweth strife: and a whisperer separateth chief friends.
In Context
27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, 2 maneno yake ni kama moto uunguzao. 1
29Mtu mkali humvuta jirani yake 2 na kumwongoza katika mapito yale mabaya. 1
Cross References
Genesis 3:1Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini ambao Bwana Mungu aliwafanya. Nyoka akamwambia mwanamke, “Ati kweli Mungu alisema, ‘Kamwe msile matunda ya mti wowote wa bustanini’?”
Proverbs 6:14ambaye hupanga ubaya 3 kwa udanganyifu moyoni mwake: 2 daima huchochea fitina. 1
Proverbs 15:18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, 2 bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 1
Proverbs 17:17Rafiki hupenda wakati wote 2 naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida. 1
Proverbs 18:8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; 2 huingia sehemu za ndani sana za mtu. 1
Proverbs 29:22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi, 2 naye mtu mwenye hasira ya haraka 2 hutenda dhambi nyingi. 1