The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 19 › Proverbs 19:27

Proverbs 19:27

Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, 2 utatangatanga mbali na maneno ya maarifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Cease, my son, to hear the instruction that causeth to err from the words of knowledge.

In Context

26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake 2 ni mwana aletaye aibu na fedheha. 1

28Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu 2 na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi. 1

Read all of Proverbs 19

Cross References

Deuteronomy 13:1Kama nabii, au yule anayetabiri kwa njia ya ndoto, akijitokeza miongoni mwenu na akawatangazia ishara ya miujiza na ajabu,

1 Kings 22:22“ Bwana akauliza, ‘Kwa njia gani?’ “Akasema, ‘Nitakwenda na kuwa roho ya uongo katika vinywa vya manabii wake wote.’ “ Bwana akasema, ‘Utafanikiwa katika kumshawishi. Nenda ukafanye hivyo.’

Proverbs 14:7Kaa mbali na mtu mpumbavu, 2 kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. 1

Matthew 16:6Yesu akawaambia, “Jihadharini. Jilindeni na chachu ya Mafarisayo na ya Masadukayo.”

Mark 4:24Naye akawaambia, “Kuweni waangalifu na yale mnayosikia. Kipimo kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa ninyi, hata na zaidi.

John 10:5Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 19:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 19:26Proverbs 19Proverbs 19:28 →