Proverbs 19:26
Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake 2 ni mwana aletaye aibu na fedheha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, 2 mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa. 1
27Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, 2 utatangatanga mbali na maneno ya maarifa. 1
Cross References
Proverbs 10:1Mithali za Solomoni: 1 Mwana mwenye hekima 2 huleta furaha kwa baba yake, 1 lakini mwana mpumbavu 2 huleta huzuni kwa mama yake. 1
Proverbs 17:2Mtumishi mwenye hekima atatawala juu ya mwana aaibishaye, 2 naye atashirikiana katika urithi kama mmoja wa hao ndugu. 1
Proverbs 23:22Msikilize baba yako, aliyekuzaa, 2 wala usimdharau mama yako atakapokuwa mzee. 1
Proverbs 28:14Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha Bwana, 2 bali yeye afanyaye moyo wake kuwa mgumu 2 huangukia kwenye taabu. 1
Proverbs 30:11“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao 2 na wala hawawabariki mama zao; 1
Luke 15:12Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake.