Proverbs 19:7
Mtu maskini huepukwa na ndugu zake wote: 2 Je, marafiki zake watamkwepa kiasi gani! 1 Ingawa huwafuata kwa kuwasihi, 2 hawapatikani popote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Wengi hujipendekeza kwa mtawala 2 na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. 1
8Yeye apataye hekima huipenda nafsi yake mwenyewe, 2 yeye ahifadhiye ufahamu hustawi. 1
Cross References
Psalms 38:12Wale wanaotafuta uhai wangu 2 wanatega mitego yao, 1 wale ambao wangetaka kunidhuru 2 huongea juu ya maangamizi yangu; 2 hufanya shauri la hila mchana kutwa. 1
Psalms 88:18Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; 2 giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.
Proverbs 14:20Maskini huepukwa hata na majirani zao, 2 bali matajiri wana marafiki wengi. 1
Proverbs 19:4Mali huleta marafiki wengi, 2 bali rafiki wa mtu maskini humwacha. 1
Proverbs 27:10Usimwache rafiki yako wala rafiki wa baba yako, 2 tena usiende nyumbani mwa ndugu yako 2 wakati umepatwa na maafa. 1 Bora jirani wa karibu 2 kuliko ndugu aliye mbali. 1
Luke 18:38Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”