Proverbs 19:6
Wengi hujipendekeza kwa mtawala 2 na kila mmoja ni rafiki wa mtu atoaye zawadi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Many will intreat the favour of the prince: and every man is a friend to him that giveth gifts.
In Context
5Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo hataachwa huru. 1
Cross References
Genesis 42:6Wakati huo Yosefu alikuwa mtawala wa nchi ya Misri, naye alikuwa ndiye aliwauzia watu wote nafaka. Kwa hiyo wakati ndugu zake Yosefu walipofika, wakamsujudia hadi nyuso zao zikagusa ardhi.
2 Samuel 19:19na kumwambia, “Bwana wangu na asinihesabie hatia. Usikumbuke jinsi mtumishi wako alivyofanya kosa siku ile bwana wangu mfalme alipoondoka Yerusalemu. Mfalme aliondoe moyoni mwake.
Psalms 45:12Binti wa Tiro atakuletea zawadi, 2 watu wenye utajiri watatafuta upendeleo wako. 1
Proverbs 17:8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; 2 kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 1
Proverbs 19:12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, 2 bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 1
Proverbs 29:26Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, 2 bali mtu hupata haki kutoka kwa Bwana. 1