Proverbs 2:8
kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki 2 na kuhifadhi njia ya waaminifu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He keepeth the paths of judgment, and preserveth the way of his saints.
In Context
7Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, 2 yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, 1
9Ndipo utafahamu lipi lililo kweli na haki 2 na sawa: yaani kila njia nzuri. 1
Cross References
Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1
Psalms 1:6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, 2 bali njia ya waovu itaangamia.
Psalms 37:23Kama Bwana akipendezwa na njia ya mtu, 2 yeye huimarisha hatua zake, 1
Psalms 37:31Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake; 2 nyayo zake hazitelezi. 1
Psalms 121:5Bwana anakulinda, 2 Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume, 1
Proverbs 3:21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, 2 usiache vitoke machoni pako; 1