Proverbs 2:7
Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, 2 yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He layeth up sound wisdom for the righteous: he is a buckler to them that walk uprightly.
In Context
6Kwa maana Bwana hutoa hekima, 2 na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 1
8kwa kuwa hulinda mwenendo wa mwenye haki 2 na kuhifadhi njia ya waaminifu wake. 1
Cross References
Psalms 3:4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, 2 naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. 1
Psalms 144:2Yeye ni Mungu wangu wa upendo na boma langu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1 ngao yangu ninayemkimbilia, 2 ambaye huwatiisha mataifa chini yangu. 1
Proverbs 14:8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, 2 bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 1
Proverbs 30:5“Kila neno la Mungu ni kamilifu; 2 yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 1
1 Corinthians 1:24Lakini kwa wale ambao Mungu amewaita, Wayahudi na pia Wayunani, Kristo ndiye nguvu ya Mungu na pia hekima ya Mungu.
1 Corinthians 2:6Lakini miongoni mwa watu waliokomaa twanena hekima, wala si hekima ya ulimwengu huu au ya watawala wa dunia hii wanaobatilika.