The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 21 › Proverbs 21:20

Proverbs 21:20

Katika nyumba ya mwenye hekima 2 kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, 1 lakini mtu mpumbavu 2 hutafuna vyote alivyo navyo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is treasure to be desired and oil in the dwelling of the wise; but a foolish man spendeth it up.

In Context

19Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1

21Yeye afuatiaye haki na upendo 2 hupata uzima, mafanikio na heshima. 1

Read all of Proverbs 21

Cross References

Job 20:15Atatema mali alizozimeza; 2 Mungu atalifanya tumbo lake kuzitapika. 1

Psalms 23:5Waandaa meza mbele yangu 2 machoni pa adui zangu. 1 Umenipaka mafuta kichwani pangu, 2 kikombe changu kinafurika. 1

Proverbs 10:22Baraka ya Bwana hutajirisha, 2 wala haichanganyi huzuni. 1

Ecclesiastes 5:19Zaidi ya yote, Mungu anapompa mtu yeyote utajiri na milki, humwezesha kuvifurahia, kukubali fungu lake na kuwa na furaha katika kazi yake, hii ni karama ya Mungu.

Ecclesiastes 10:19Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, 2 nao mvinyo hufurahisha maisha, 2 lakini fedha ni jawabu la mambo yote. 1

Matthew 6:19“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 21:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 21:19Proverbs 21Proverbs 21:21 →