Proverbs 21:19
Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is better to dwell in the wilderness, than with a contentious and an angry woman.
In Context
18Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, 2 nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 1
Cross References
Psalms 55:6Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa! 2 Ningeruka niende mbali kupumzika. 1
Proverbs 21:9Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, 2 kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 1
Proverbs 30:23mwanamke asiyependwa aolewapo, 2 naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 1