Proverbs 21:28
Shahidi wa uongo ataangamia, 2 bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A false witness shall perish: but the man that heareth speaketh constantly.
In Context
27Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, 2 si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 1
29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu, 2 bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake. 1
Cross References
Deuteronomy 19:16Kama shahidi mwenye nia ya kumdhuru mwingine akisimama kumshtaki mtu kwa uhalifu,
Proverbs 12:19Midomo isemayo kweli hudumu milele, 2 bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 1
Proverbs 19:9Shahidi wa uongo hataacha kuadhibiwa, 2 naye amwagaye uongo ataangamia. 1
Acts 12:15Wakamwambia yule mtumishi wa kike, “Umerukwa na akili.” Alipozidi kusisitiza kuwa ni kweli, wakasema, “Lazima awe ni malaika wake.”
2 Corinthians 4:13Imeandikwa, “Niliamini, kwa hiyo nimesema.” Kwa roho yule yule wa imani pia tuliamini na hivyo tunasema,