The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 21 › Proverbs 21:27

Proverbs 21:27

Dhabihu ya mtu mwovu ni chukizo, 2 si zaidi sana itolewapo kwa nia mbaya! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The sacrifice of the wicked is abomination: how much more, when he bringeth it with a wicked mind?

In Context

26Mchana kutwa hutamani zaidi, 2 lakini mnyofu hutoa pasipo kuzuia. 1

28Shahidi wa uongo ataangamia, 2 bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. 1

Read all of Proverbs 21

Cross References

1 Samuel 13:12nikawaza, ‘Sasa Wafilisti watateremka dhidi yangu huko Gilgali nami sijaomba kibali kwa Bwana.’ Hivyo nikalazimika kutoa sadaka ya kuteketezwa.”

Psalms 50:8Sikukemei kwa sababu ya dhabihu zako, 2 au sadaka zako za kuteketezwa, 2 ambazo daima ziko mbele zangu. 1

Proverbs 15:8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1

Isaiah 1:11Bwana anasema, “Wingi wa sadaka zenu, 2 ni kitu gani kwangu? 1 Ninazo sadaka za kuteketezwa nyingi kupita kiasi, 2 za kondoo dume na mafuta ya wanyama walionona. 1 Sipendezwi na damu za mafahali 2 wala za wana-kondoo na mbuzi. 1

Jeremiah 6:20Unanifaa nini uvumba kutoka Sheba, 2 au udi wa harufu nzuri kutoka nchi ya mbali? 1 Sadaka zako za kuteketezwa hazikubaliki, 2 dhabihu zako hazinifurahishi mimi.”

Amos 5:21“Ninachukia, ninazidharau sikukuu zenu za dini; 2 siwezi kuvumilia makusanyiko yenu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 21:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 21:26Proverbs 21Proverbs 21:28 →