Proverbs 22:3
Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, 2 bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A prudent man foreseeth the evil, and hideth himself: but the simple pass on, and are punished.
In Context
2Tajiri na maskini wanafanana kwa hili: 2 Bwana ni Muumba wao wote. 1
4Unyenyekevu na kumcha Bwana 2 huleta utajiri, heshima na uzima. 1
Cross References
Exodus 9:21Lakini wale waliopuuza neno la Bwana wakawaacha watumwa wao na mifugo yao shambani.
Proverbs 7:22Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke 2 kama fahali aendaye machinjoni, 2 kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 1
Proverbs 14:16Mtu mwenye hekima humcha Bwana na kuepuka mabaya, 2 bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe. 1
Proverbs 29:1Mtu anayeendelea kuwa na shingo ngumu baada ya maonyo mengi, 2 ataangamia ghafula, wala hapati dawa. 1
Matthew 24:15“Hivyo mtakapoona lile ‘chukizo la uharibifu’ lililonenwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu (asomaye na afahamu),
Hebrews 6:18Mungu alifanya hivyo ili kwa vitu viwili visivyobadilika, yaani ahadi yake na kiapo chake, ambavyo kwavyo Mungu hawezi kusema uongo, sisi ambao tumemkimbilia ili tulishike lile tumaini lililowekwa mbele yetu tuwe na faraja thabiti.