Proverbs 7:22
Mara huyo kijana alimfuata yule mwanamke 2 kama fahali aendaye machinjoni, 2 kama kulungu aingiaye kwenye kitanzi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; 2 alimshawishi kwa maneno yake laini. 1
Cross References
Job 13:27Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. 2 Unazichunga kwa makini njia zangu zote 2 kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu. 1
Acts 14:13Kuhani wa Zeu, ambaye hekalu lake lilikuwa nje kidogo tu ya mji, akaleta mafahali na mashada ya maua penye lango la mji kwa sababu yeye na ule umati wa watu walitaka kuwatolea dhabihu.