Proverbs 23:12
Elekeza moyo wako kwenye mafundisho 2 na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Apply thine heart unto instruction, and thine ears to the words of knowledge.
In Context
11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu, 2 atalichukua shauri lao dhidi yako. 1
13Usimnyime mtoto adhabu, 2 ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. 1
Cross References
Proverbs 5:1Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu, 2 sikiliza vizuri maneno yangu ya busara, 1
Proverbs 23:19Sikiliza, mwanangu na uwe na hekima, 2 weka moyo wako kwenye njia iliyo sawa. 1
Matthew 13:52Akawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya Ufalme wa Mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.” 1 Yesu Akataliwa Nazareti (Marko 6:1-6; Luka 4:16-30)