Proverbs 23:19
Sikiliza, mwanangu na uwe na hekima, 2 weka moyo wako kwenye njia iliyo sawa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear thou, my son, and be wise, and guide thine heart in the way.
In Context
18Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, 2 nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali. 1
20Usiwe miongoni mwa wanywao mvinyo, 2 au wale walao nyama kwa pupa, 1
Cross References
Proverbs 4:10Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, 2 nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. 1
Proverbs 6:6Ewe mvivu, mwendee mchwa; 2 zitafakari njia zake ukapate hekima! 1
Proverbs 23:12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho 2 na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. 1