Proverbs 23:24
Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, 2 naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Nunua kweli wala usiiuze, 2 pata hekima, adabu na ufahamu. 1
25Baba yako na mama yako na wafurahi, 2 mama aliyekuzaa na ashangilie! 1
Cross References
1 Kings 1:48na kusema, ‘Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye ameruhusu macho yangu kuona mrithi juu ya kiti changu cha ufalme leo hii.’ ”
1 Kings 2:9Lakini sasa, usidhani kwamba hana hatia. Wewe ni mtu wa hekima, utajua la kumtendea. Zishushe mvi zake kaburini kwa damu.”
Proverbs 15:20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, 2 bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. 1
Proverbs 27:11Mwanangu, uwe na hekima, 2 nawe ulete furaha moyoni mwangu, 1 ndipo nitakapoweza kumjibu yeyote 2 anitendaye kwa dharau. 1
Ecclesiastes 2:19Nani ajuaye kama atakuwa ni mtu mwenye hekima au mpumbavu? Lakini hata hivyo yeye ndiye atakayetawala kazi zote ambazo nimemiminia juhudi na ustadi chini ya jua. Hili nalo ni ubatili.
Philemon 1:20Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana, uuburudishe moyo wangu katika Kristo.