Proverbs 27:11
Mwanangu, uwe na hekima, 2 nawe ulete furaha moyoni mwangu, 1 ndipo nitakapoweza kumjibu yeyote 2 anitendaye kwa dharau. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My son, be wise, and make my heart glad, that I may answer him that reproacheth me.
In Context
12Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, 2 bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa. 1
Cross References
Psalms 119:42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, 2 kwa kuwa ninalitumainia neno lako. 1
Proverbs 10:1Mithali za Solomoni: 1 Mwana mwenye hekima 2 huleta furaha kwa baba yake, 1 lakini mwana mpumbavu 2 huleta huzuni kwa mama yake. 1
Proverbs 23:15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, 2 basi moyo wangu utafurahi, 1
Proverbs 23:25Baba yako na mama yako na wafurahi, 2 mama aliyekuzaa na ashangilie! 1
Ecclesiastes 2:18Nikachukia kila kitu nilichokuwa nimetaabikia chini ya jua, kwa sababu ni lazima nimwachie yule ajaye baada yangu.
Philemon 1:19Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako.