The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 24 › Proverbs 24:15

Proverbs 24:15

Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia 2 makao ya mwenye haki, 2 wala usiyavamie makazi yake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lay not wait, O wicked man, against the dwelling of the righteous; spoil not his resting place:

In Context

14Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako, 2 kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo, 2 nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali. 1

16Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, 2 lakini waovu huangushwa chini na maafa. 1

Read all of Proverbs 24

Cross References

1 Samuel 22:18Kisha mfalme akamwagiza Doegi, “Wewe geuka ukawaue makuhani.” Hivyo basi Doegi Mwedomu, akageuka na kuwaua. Siku ile aliwaua watu themanini na watano wavaao visibau vya kitani.

Psalms 10:8Huvizia karibu na vijiji; 2 kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, 2 akivizia wapitaji. 1

Psalms 56:6Wananifanyia hila, wanajificha, 2 wanatazama hatua zangu, 2 wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu. 1

Psalms 140:5Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa, 2 wametandaza kamba za wavu wao, 2 wametega mitego kwenye njia yangu. 1

Proverbs 22:28Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani 2 lililowekwa na baba zako. 1

Jeremiah 11:19Nilikuwa kama mwana-kondoo mpole aliyeongozwa machinjoni; mimi sikutambua kwamba walikuwa wamefanya shauri baya dhidi yangu, wakisema, 1 “Sisi na tuuangamize mti na matunda yake; 2 nasi tumkatilie mbali kutoka nchi ya walio hai, 2 ili jina lake lisikumbukwe tena.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 24:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 24:14Proverbs 24Proverbs 24:16 →