The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 24 › Proverbs 24:14

Proverbs 24:14

Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako, 2 kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo, 2 nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So shall the knowledge of wisdom be unto thy soul: when thou hast found it, then there shall be a reward, and thy expectation shall not be cut off.

In Context

13Ule asali mwanangu, kwa kuwa ni nzuri; 2 asali kutoka kwenye sega ni tamu kwa kuonja. 1

15Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia 2 makao ya mwenye haki, 2 wala usiyavamie makazi yake, 1

Read all of Proverbs 24

Cross References

Psalms 19:11Kwa hizo mtumishi wako anaonywa, 2 katika kuzishika kuna thawabu kubwa. 1

Psalms 119:111Sheria zako ni urithi wangu milele, 2 naam ni furaha ya moyo wangu. 1

Proverbs 2:10Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, 2 nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. 1

Proverbs 22:18kwa maana inapendeza unapoyahifadhi moyoni mwako 2 na kuwa nayo yote tayari midomoni mwako. 1

Jeremiah 15:16Maneno yako yalipokuja, niliyala; 2 yakawa shangwe yangu 2 na furaha ya moyo wangu, 1 kwa kuwa nimeitwa kwa jina lako, 2 Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote. 1

James 1:25Lakini yeye anayeangalia kwa bidii katika sheria kamilifu, ile iletayo uhuru, naye akaendelea kufanya hivyo bila kusahau alichosikia, bali akalitenda, atabarikiwa katika kile anachofanya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 24:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 24:13Proverbs 24Proverbs 24:15 →