Proverbs 24:18
Bwana asije akaona na kuchukia 2 akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lest the LORD see it, and it displease him, and he turn away his wrath from him.
In Context
17Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; 2 wakati ajikwaapo, 2 usiruhusu moyo wako ushangilie. 1
19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya 2 wala usiwaonee wivu waovu, 1
Cross References
Zechariah 1:15lakini nimeyakasirikia sana mataifa yanayojisikia kuwa yako salama. Nilikuwa nimewakasirikia Israeli kidogo tu, lakini mataifa hayo yaliwazidishia maafa.’