Proverbs 24:19
Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya 2 wala usiwaonee wivu waovu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fret not thyself because of evil men, neither be thou envious at the wicked;
In Context
18Bwana asije akaona na kuchukia 2 akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. 1
20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, 2 nayo taa ya waovu itazimwa. 1
Cross References
Psalms 1:1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1
Psalms 37:1Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, 2 wala usiwaonee wivu watendao mabaya, 1
Psalms 119:115Ondokeni kwangu, ninyi mtendao mabaya, 2 ili niweze kushika amri za Mungu wangu! 1
Proverbs 23:17Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, 2 bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Bwana. 1
2 Corinthians 6:17“Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, 2 mkatengwe nao, 4 asema Bwana. 1 Msiguse kitu chochote kilicho najisi, 2 nami nitawakaribisha.” 1
2 Timothy 3:2Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kumkufuru Mungu, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio watakatifu,