Proverbs 24:20
kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, 2 nayo taa ya waovu itazimwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For there shall be no reward to the evil man; the candle of the wicked shall be put out.
In Context
19Usikasirike kwa sababu ya watu wabaya 2 wala usiwaonee wivu waovu, 1
21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, 2 wala usijiunge na waasi, 1
Cross References
Job 18:5“Taa ya mwovu imezimwa, 2 nao mwali wa moto wake umezimika. 1
Psalms 9:17Waovu wataishia kuzimu, 2 naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 1
Psalms 37:2kwa maana kama majani watanyauka mara, 2 kama mimea ya kijani watakufa mara. 1
Proverbs 20:20Ikiwa mtu atamlaani baba yake au mama yake, 2 taa yake itazimwa katika giza nene. 1
Isaiah 3:11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1
Matthew 25:8Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, ‘Tupatieni mafuta yenu kidogo; taa zetu zinazimika.’