The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 25 › Proverbs 25:1

Proverbs 25:1

Hizi ni mithali zaidi za Solomoni, zilizonakiliwa na watu wa Hezekia mfalme wa Yuda: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

These are also proverbs of Solomon, which the men of Hezekiah king of Judah copied out.

In Context

2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, 2 bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 1

Read all of Proverbs 25

Cross References

1 Kings 4:32Akanena mithali 3,000 na nyimbo zake zilikuwa 1,005.

Proverbs 10:1Mithali za Solomoni: 1 Mwana mwenye hekima 2 huleta furaha kwa baba yake, 1 lakini mwana mpumbavu 2 huleta huzuni kwa mama yake. 1

Isaiah 1:1Maono kuhusu Yuda na Yerusalemu ambayo Isaya mwana wa Amozi aliyaona wakati wa utawala wa Uzia, Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda. 1 Taifa Asi 1

Isaiah 37:2Akawatuma Eliakimu msimamizi wa nyumba ya mfalme, Shebna mwandishi, na viongozi wa makuhani, wote wakiwa wamevaa nguo za magunia, waende kwa nabii Isaya mwana wa Amozi.

Micah 1:1Neno la Bwana lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 25:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Proverbs 25Proverbs 25:2 →