Proverbs 10:1
Mithali za Solomoni: 1 Mwana mwenye hekima 2 huleta furaha kwa baba yake, 1 lakini mwana mpumbavu 2 huleta huzuni kwa mama yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, 2 lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 1
Cross References
Proverbs 1:1Mithali za Solomoni mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli: 1
Proverbs 17:21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; 2 hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. 1
Proverbs 19:13Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, 2 naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. 1
Proverbs 23:24Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, 2 naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia. 1
Proverbs 25:1Hizi ni mithali zaidi za Solomoni, zilizonakiliwa na watu wa Hezekia mfalme wa Yuda: 1
Proverbs 29:15Fimbo ya maonyo hutia hekima, 2 bali mtoto aliyeachiwa bila maonyo 2 humwaibisha mama yake. 1