The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 25 › Proverbs 25:14

Proverbs 25:14

Kama vile mawingu na upepo pasipo mvua 2 ndivyo alivyo mtu ajisifuye kwa zawadi ambazo hatoi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whoso boasteth himself of a false gift is like clouds and wind without rain.

In Context

13Kama vile ubaridi wa theluji wakati wa mavuno 2 ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwa wale wamtumao, 2 huburudisha roho za bwana zake. 1

15Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa, 2 nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa. 1

Read all of Proverbs 25

Cross References

1 Kings 22:11Wakati huu Sedekia mwana wa Kenaana alikuwa ametengeneza pembe za chuma, akatangaza, “Hivi ndivyo Bwana asemavyo, ‘Kwa hizi pembe utawapiga na kuwarudisha Waaramu nyuma mpaka wameangamizwa.’ ”

Luke 14:11Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”

2 Corinthians 11:13Watu kama hao ni mitume wa uongo, ni wafanyakazi wadanganyifu, wanaojigeuza waonekane kama mitume wa Kristo.

2 Peter 2:15Wameiacha njia iliyonyooka, wakapotoka na kuifuata njia ya Balaamu mwana wa Beori aliyependa mshahara wa uovu.

Jude 1:16Watu hawa ni wenye kunungʼunika na wenye kutafuta makosa; wao hufuata tamaa zao mbaya, hujisifu kwa maneno makuu kuhusu wao wenyewe na kuwasifu mno watu wenye vyeo kwa ajili ya kujipatia faida. 1 Maonyo Na Mausia

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 25:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 25:13Proverbs 25Proverbs 25:15 →