The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 25 › Proverbs 25:15

Proverbs 25:15

Kwa njia ya uvumilivu mtawala aweza kushawishiwa, 2 nao ulimi laini waweza kuvunja mfupa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

By long forbearing is a prince persuaded, and a soft tongue breaketh the bone.

In Context

14Kama vile mawingu na upepo pasipo mvua 2 ndivyo alivyo mtu ajisifuye kwa zawadi ambazo hatoi. 1

16Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, 2 ukila zaidi, utatapika. 1

Read all of Proverbs 25

Cross References

Judges 14:9akachukua asali mkononi mwake akaendelea huku akila. Alipowafikia baba yake na mama yake, akawapa ile asali nao wakala. Lakini hakuwaambia kuwa alitwaa asali kutoka kwenye mzoga wa simba.

1 Samuel 25:24Akamwangukia miguuni pake na kusema: “Bwana wangu, kosa hili na liwe juu yangu mwenyewe. Tafadhali mruhusu mtumishi wako aseme nawe. Sikia kile mtumishi wako atakachosema.

Proverbs 15:1Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, 2 bali neno liumizalo huchochea hasira. 1

Proverbs 16:32Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa, 2 mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 25:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 25:14Proverbs 25Proverbs 25:16 →