Proverbs 25:22
Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, 2 naye Bwana atakupa thawabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For thou shalt heap coals of fire upon his head, and the LORD shall reward thee.
In Context
21Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; 2 kama ana kiu, mpe maji anywe. 1
23Kama vile upepo wa kaskazini uletavyo mvua, 2 ndivyo ulimi usingiziao uletavyo uso wa hasira. 1
Cross References
2 Samuel 16:12Inawezekana kwamba Bwana ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.”
1 Corinthians 15:18Hivyo basi, wote waliolala katika Kristo wamepotea.