Proverbs 25:21
Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; 2 kama ana kiu, mpe maji anywe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thine enemy be hungry, give him bread to eat; and if he be thirsty, give him water to drink:
In Context
22Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, 2 naye Bwana atakupa thawabu. 1
Cross References
1 Samuel 24:20Ninajua kwamba hakika utakuwa mfalme na ya kwamba ufalme wa Israeli utakuwa imara mikononi mwako.
2 Chronicles 28:15Kisha watu waliotajwa kwa majina wakawachukua wale mateka na kutoka zile nyara, wakachukua mavazi wakawavika wale wafungwa wote waliokuwa uchi. Wakawapatia nguo na viatu, chakula na cha kunywa, wakawapa matibabu, wote waliokuwa dhaifu miongoni mwao wakawapandisha juu ya punda, wakawaleta ndugu zao mpaka Yeriko, ndio Mji wa Mitende, kisha wakarudi Samaria. 1 Waashuru Wakataa Kusaidia Yuda (2 Wafalme 16:7-9)
Proverbs 24:17Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; 2 wakati ajikwaapo, 2 usiruhusu moyo wako ushangilie. 1
Matthew 5:44Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,
Romans 12:20Badala yake: 1 “Kama adui yako ana njaa, mlishe; 2 kama ana kiu, mpe kinywaji. 1 Kwa kufanya hivyo, 2 unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.”