Proverbs 25:26
Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au 2 kisima kilichotiwa taka 1 ndivyo alivyo mtu mwenye haki 2 akishiriki na waovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A righteous man falling down before the wicked is as a troubled fountain, and a corrupt spring.
In Context
25Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka 2 ndivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali. 1
27Si vyema kula asali nyingi sana, 2 wala si heshima 2 kujitafutia heshima yako mwenyewe. 1
Cross References
Genesis 4:8Basi Kaini akamwambia ndugu yake Abeli, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.
2 Chronicles 24:21Lakini wakafanya shauri baya juu yake na kwa amri ya mfalme wakampiga kwa mawe mpaka akafa katika ukumbi wa Hekalu la Bwana.
Ezekiel 34:18Je, haiwatoshi ninyi kujilisha kwenye malisho mazuri? Je, ni lazima ninyi kuyakanyaga pia malisho yenu yaliyobaki kwa miguu yenu? Je, haiwatoshi ninyi kunywa maji safi? Je, ni lazima kuyachafua maji mengine kwa miguu yenu?
Matthew 26:69Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.”
1 Thessalonians 2:15wale waliomuua Bwana Yesu na manabii, nasi wakatufukuza pia. Watu hao walimchukiza Mungu na tena ni adui wa watu wote,