Proverbs 25:27
Si vyema kula asali nyingi sana, 2 wala si heshima 2 kujitafutia heshima yako mwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is not good to eat much honey: so for men to search their own glory is not glory.
In Context
28Kama vile mji ambao kuta zake zimebomoka 2 ndivyo alivyo mtu 2 ambaye hawezi kujitawala mwenyewe.
Cross References
Proverbs 25:2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, 2 bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 1
Proverbs 27:2Mwache mwingine akusifu, 2 wala si kinywa chako mwenyewe; 1 mtu mwingine afanye hivyo 2 na si midomo yako mwenyewe. 1
2 Corinthians 12:1Yanipasa nijisifu, ingawa haifaidi kitu. Nitaenda kwenye maono na ufunuo kutoka kwa Bwana.
Philippians 2:3Msitende jambo lolote kwa nia ya kujitukuza wala kujivuna, bali kwa unyenyekevu kila mtu amhesabu mwingine bora kuliko nafsi yake.