The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 26 › Proverbs 26:1

Proverbs 26:1

Kama theluji wakati wa kiangazi au mvua wakati wa mavuno, 2 ndivyo asivyostahili heshima mpumbavu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As snow in summer, and as rain in harvest, so honour is not seemly for a fool.

In Context

2Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake 2 au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, 2 ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu. 1

Read all of Proverbs 26

Cross References

Judges 9:20Lakini kama sivyo, moto na utoke kwa Abimeleki na uwateketeze, ninyi watu wa Shekemu na Beth-Milo, nao moto utoke kwenu, watu wa Shekemu na Beth-Milo umteketeze Abimeleki!”

1 Samuel 12:17Je, sasa si mavuno ya ngano? Nitamwomba Bwana ili alete ngurumo na mvua. Nanyi mtatambua jambo hili lilivyo baya mlilolifanya mbele za macho ya Bwana mlipoomba mfalme.”

Esther 4:6Basi Hathaki alitoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanja ulio wazi wa mji mbele ya lango la mfalme.

Psalms 12:8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali 2 wakati ambapo yule aliye mbaya sana 2 ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.

Psalms 52:1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? 2 Kwa nini unajivuna mchana kutwa, 2 wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 1

Proverbs 19:10Haistahili mpumbavu kuishi katika anasa, 2 itakuwa vibaya kiasi gani 2 kwa mtumwa kuwatawala wakuu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 26:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Proverbs 26Proverbs 26:2 →