Proverbs 26:11
Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, 2 ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As a dog returneth to his vomit, so a fool returneth to his folly.
In Context
Cross References
Isaiah 28:8Meza zote zimejawa na matapishi 2 wala hakuna sehemu hata ndogo 2 isiyokuwa na uchafu. 1
2 Peter 2:22Imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli isemayo: “Mbwa huyarudia matapiko yake mwenyewe,” tena, “Nguruwe aliyeoshwa hurudi kugaagaa matopeni.”