Proverbs 26:12
Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima 2 machoni pake mwenyewe? 2 Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Seest thou a man wise in his own conceit? there is more hope of a fool than of him.
In Context
11Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, 2 ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake. 1
13Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, 2 simba mkali anazunguka mitaa!” 1
Cross References
Proverbs 12:15Njia ya mpumbavu huonekana sawa 2 machoni pake mwenyewe, 2 bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri. 1
Proverbs 26:5Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe. 1
Proverbs 28:11Mtu tajiri anaweza kuwa na hekima machoni pake mwenyewe, 2 bali mtu maskini mwenye ufahamu atamfichua. 1
Proverbs 29:20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? 2 Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye. 1
Matthew 21:31“Ni yupi kati yao hao wawili aliyetimiza kile alichotaka baba yake?” Wakamjibu, “Ni yule wa kwanza.” Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanawatangulia kuingia katika Ufalme wa Mungu.
Luke 18:11Yule Farisayo, akasimama, akasali hivi na kuomba kwake mwenyewe: ‘Mungu, nakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine ambao ni wanyangʼanyi, wadhalimu, na wazinzi, wala kama huyu mtoza ushuru.