Proverbs 26:16
Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, 2 kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sluggard is wiser in his own conceit than seven men that can render a reason.
In Context
15Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, 2 naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. 1
Cross References
Proverbs 26:12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima 2 machoni pake mwenyewe? 2 Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake. 1