Proverbs 26:19
ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, 2 “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So is the man that deceiveth his neighbour, and saith, Am not I in sport?
In Context
18Kama mtu mwendawazimu 2 atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, 1
20Bila kuni moto huzimika; 2 pasipo uchongezi ugomvi humalizika. 1
Cross References
Proverbs 14:9Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, 2 bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. 1
Ephesians 5:4Wala pasiwepo mazungumzo machafu ya aibu, au maneno ya upuzi au mzaha, ambayo hayafai, badala yake mshukuruni Mungu.