Proverbs 14:9
Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, 2 bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fools make a mock at sin: but among the righteous there is favour.
In Context
8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, 2 bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 1
10Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, 2 wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake. 1
Cross References
Job 34:7Ni mtu gani aliye kama Ayubu, 2 anywaye dharau kama maji? 1
Proverbs 3:4Ndipo utapata kibali na jina zuri 2 mbele za Mungu na mwanadamu. 1
Proverbs 10:23Mpumbavu hufurahia tabia mbaya, 2 lakini mtu mwenye ufahamu hupendezwa na hekima. 1
Proverbs 13:15Ufahamu mzuri hupata upendeleo, 2 bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. 1
Proverbs 30:20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi, 2 hula akapangusa kinywa chake na kusema, 2 ‘Sikufanya chochote kibaya.’ 1
Jude 1:18Kwa kuwa waliwaambia, “Siku za mwisho kutakuwa na watu wenye kudhihaki, watakaofuata tamaa zao wenyewe za upotovu.”